Ofisi ya kansela wa ubalozi wa China inapenda kuutarifu umma kwamba kuna idadi kubwa ya watu ambao hawakufika kuchukua Visa zao kwa muda mrefu.
Waombaji wote wenye namba zifuatazo za kuchukulia Visa wanataarifiwa kufuata paspoti zao na kulipia Visa kabla ya tarehe 9 Oktoba 2019. Kama hazitafuatwa katika kipindi kilichotajwa Visa zitafutwa kulingana na Sera na tatatibu za Viza za China.
Asante kwa ushirikiano wako.
Namba za kuchukulia Visa.:
25124702, 23066507, 23067715, 24579240, 24578768, 24579892, 24577678, 24578164, 24577148, 26550596, 26550848, 26550467, 26551097, 26552016, 26552248, 26553490, 26554421, 26554880, 26554906, 26355494, 26358960, 30010970, 30010138, 30010139, 30012150, 30011901, 30013350, 30014893, 32755846, 32755483, 32757033, 32756969, 32756706, 32758667, 32758731, 32758136, 32710521, 32710920, 32711657, 32711611, 32712330, 32714541, 32714650, 32715287, 32715467, 32716940, 32717263, 32717311, 32717346, 32718537, 32718456, 32717938, 32719852, 35900861, 35900410, 35901757, 36385284, 36385603, 36385702, 35904392, 35904490, 36386434, 36386741, 36386942, 36387020, 36387227, 36387238, 36387280, 36388548, 36388289, 36388328, 36388490
Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China
Dar es Salaam, Tanzania
Tarehe 3 Oktoba 2019